-
Yeremia 36:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Ndipo wakuu wote wakamtuma Yehudi mwana wa Nethania mwana wa Shelemia mwana wa Kushi kwa Baruku, wakisema: “Njoo na kitabu cha kukunjwa ulichosoma mbele ya watu.” Baruku mwana wa Neria akabeba kile kitabu cha kukunjwa mkononi mwake na kuingia walimokuwa.
-