11 Makuhani na manabii wakawaambia hivi wakuu na watu wote: “Mtu huyu anastahili hukumu ya kifo,+ kwa sababu ametabiri dhidi ya jiji hili kama mlivyosikia kwa masikio yenu wenyewe.”+
4 Wakuu wakamwambia mfalme: “Tafadhali agiza mtu huyu auawe,+ kwa maana hivyo ndivyo anavyoidhoofisha mioyo* ya wanajeshi waliobaki jijini, na pia ya watu wote, kwa kuwaambia maneno hayo. Kwa maana mtu huyu hawatakii amani watu hawa, bali msiba.”