-
1 Wafalme 16:23, 24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Katika mwaka wa 31 wa Mfalme Asa wa Yuda, Omri akawa mfalme wa Israeli, naye akatawala kwa miaka 12. Alitawala Tirsa kwa miaka sita. 24 Alinunua mlima wa Samaria kutoka kwa Shemeri kwa talanta mbili za fedha,* akajenga jiji juu ya mlima huo. Jiji alilojenga aliliita Samaria,*+ jina la Shemeri mmiliki* wa mlima huo.
-