Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 11:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Kwa maana miungu yenu imekuwa mingi kama majiji yenu, enyi watu wa Yuda, nanyi mmekitengenezea kitu cha aibu* madhabahu nyingi kama barabara zilizo Yerusalemu, madhabahu za kumtolea dhabihu Baali.’+

  • Ezekieli 16:24, 25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 ‘Ulijijengea kilima na kujitengenezea mahali pa juu katika kila kiwanja cha jiji. 25 Ulijenga mahali pako pa juu sehemu zinazoonekana zaidi za kila barabara, nawe ukaugeuza urembo wako kuwa kitu kinachochukiza kwa kuutoa mwili wako* kwa kila mpita-njia,+ nawe ukazidisha matendo yako ya ukahaba.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki