Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 2:23, 24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Unawezaje kusema, ‘Sijajichafua.

      Sijafuata Mabaali?

      Angalia njia yako bondeni.

      Fikiria ulichofanya.

      Wewe ni kama ngamia jike mchanga anayekimbia kasi,

      Anayekimbia huku na huku bila mwelekeo katika njia zake,

      24 Punda wa mwituni aliyezoea nyika,

      Anayenusa upepo katika tamaa yake.*

      Ni nani anayeweza kumzuia anaposhikwa na nyege?

      Hakuna yeyote kati ya wale wanaomtafuta atakayelazimika kujichosha.

      Watampata katika majira yake.*

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki