Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 25:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Kwa maana Yehova Mungu wa Israeli aliniambia hivi: “Chukua kikombe hiki cha divai ya ghadhabu kutoka mkononi mwangu, nawe uyanyweshe mataifa yote ambayo ninakutuma kwao.

  • Yeremia 25:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 kisha mfalme Farao wa Misri na watumishi wake, wakuu wake, na watu wake wote,+

  • Ezekieli 29:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 “Mwana wa binadamu, uelekeze uso wako kwa Farao mfalme wa Misri, na utabiri dhidi yake na dhidi ya nchi yote ya Misri.+

  • Ezekieli 32:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 “Mwana wa binadamu, mwimbie wimbo wa huzuni* mfalme Farao wa Misri, nawe umwambie,

      ‘Ulikuwa kama mwanasimba* mwenye nguvu wa mataifa,

      Lakini umenyamazishwa.

      Ulikuwa kama mnyama mkubwa sana wa baharini,+ ukitibua maji katika mito yako,

      Ukivuruga maji kwa miguu yako na kuchafua mito.’*

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki