-
Yeremia 46:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 ‘Kwa nini ninawaona wameshikwa na hofu?
Wanarudi nyuma, mashujaa wao wamepondwa-pondwa.
Wamekimbia kwa woga, mashujaa wao hawakugeuka.
Kuna hofu kila mahali,’ asema Yehova.
-
-
Yeremia 46:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Kwa nini watu wako wenye nguvu wamefagiliwa mbali?
Walishindwa kusimama imara,
Kwa maana Yehova amewasukuma na kuwaangusha chini.
-