Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 34:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Yehova ana upanga; utafunikwa kwa damu.

      Utafunikwa kwa mafuta,+

      Kwa damu ya wanakondoo dume na mbuzi,

      Kwa mafuta ya figo za kondoo dume.

      Kwa maana Yehova ana dhabihu kule Bosra,

      Machinjo makubwa katika nchi ya Edomu.+

  • Isaya 34:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Haitazimwa usiku wala mchana;

      Moshi wake utaendelea kupaa milele.

      Itabaki ukiwa kizazi baada ya kizazi;

      Hakuna yeyote atakayepita katikati yake milele na milele.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki