Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 34:6, 7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Yehova ana upanga; utafunikwa kwa damu.

      Utafunikwa kwa mafuta,+

      Kwa damu ya wanakondoo dume na mbuzi,

      Kwa mafuta ya figo za kondoo dume.

      Kwa maana Yehova ana dhabihu kule Bosra,

      Machinjo makubwa katika nchi ya Edomu.+

       7 Fahali mwitu watashuka pamoja nao,

      Ng’ombe dume wachanga watashuka pamoja na wenye nguvu.

      Nchi yao itajaa damu,

      Na mavumbi yao yatalowa mafuta.”

  • Ezekieli 39:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Mtakula nyama ya wenye nguvu na kunywa damu ya viongozi wa dunia—kondoo dume, wanakondoo, mbuzi, na ng’ombe dume—wanyama wote waliononeshwa wa Bashani.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki