Isaya 13:17, 18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Tazama, ninawainua Wamedi dhidi yao,+Ambao hawaioni fedha kuwa kituNa ambao hawapendezwi na dhahabu. 18 Pinde zao zitawavunjavunja vijana;+Hawatausikitikia uzao wa tumboWala kuwahurumia watoto.
17 Tazama, ninawainua Wamedi dhidi yao,+Ambao hawaioni fedha kuwa kituNa ambao hawapendezwi na dhahabu. 18 Pinde zao zitawavunjavunja vijana;+Hawatausikitikia uzao wa tumboWala kuwahurumia watoto.