Isaya 13:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Wanakuja kutoka nchi ya mbali,+Kutoka mwisho wa mbingu,Yehova na silaha za ghadhabu yake,Ili kuiangamiza dunia yote.+ Isaya 13:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Tazama, ninawainua Wamedi dhidi yao,+Ambao hawaioni fedha kuwa kituNa ambao hawapendezwi na dhahabu.
5 Wanakuja kutoka nchi ya mbali,+Kutoka mwisho wa mbingu,Yehova na silaha za ghadhabu yake,Ili kuiangamiza dunia yote.+
17 Tazama, ninawainua Wamedi dhidi yao,+Ambao hawaioni fedha kuwa kituNa ambao hawapendezwi na dhahabu.