Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 13:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Tangazo dhidi ya Babiloni,+ ambalo Isaya+ mwana wa Amozi aliona katika maono:

  • Isaya 13:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Halitakaliwa kamwe,

      Wala halitakuwa makao ya watu kwa vizazi vyote.+

      Hakuna Mwarabu atakayepiga hema lake huko,

      Na hakuna wachungaji watakaopumzisha mifugo yao huko.

  • Yeremia 51:43
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 43 Majiji yake yamekuwa kitu cha kutisha, nchi isiyo na maji na jangwa.

      Nchi ambayo hakuna mtu atakayeishi wala kupitia humo.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki