Isaya 65:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Basi nitawaamulia muuawe kwa upanga,+Nanyi nyote mtainama chini ili mchinjwe,+Kwa sababu niliita, lakini hamkuitika,Nilizungumza lakini hamkusikiliza;+Mliendelea kutenda maovu machoni pangu,Nanyi mkachagua mambo yaliyonichukiza.”+
12 Basi nitawaamulia muuawe kwa upanga,+Nanyi nyote mtainama chini ili mchinjwe,+Kwa sababu niliita, lakini hamkuitika,Nilizungumza lakini hamkusikiliza;+Mliendelea kutenda maovu machoni pangu,Nanyi mkachagua mambo yaliyonichukiza.”+