Ezekieli 16:37 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 37 kwa hiyo ninawakusanya pamoja wapenzi wote ambao umewapa raha, wote uliowapenda na wote uliowachukia. Nitawakusanya pamoja dhidi yako kutoka pande zote na kuwafunulia uchi wako, nao watakuona ukiwa uchi kabisa.+
37 kwa hiyo ninawakusanya pamoja wapenzi wote ambao umewapa raha, wote uliowapenda na wote uliowachukia. Nitawakusanya pamoja dhidi yako kutoka pande zote na kuwafunulia uchi wako, nao watakuona ukiwa uchi kabisa.+