Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 8:1, 2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 “Wakati huo,” asema Yehova, “mifupa ya wafalme wa Yuda, mifupa ya wakuu wake, mifupa ya makuhani, mifupa ya manabii, na mifupa ya wakaaji wa Yerusalemu itatolewa katika makaburi yao. 2 Itatandazwa juani na mbele ya mwezi na kwa jeshi lote la mbinguni ambalo wamelipenda na kulitumikia na kulifuata na kulitafuta na kuliinamia.+ Haitakusanywa, wala haitazikwa. Itakuwa kama mbolea juu ya ardhi.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki