Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nehemia 9:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Ingawa uliwaonya ili wairudie Sheria yako, walitenda kwa kimbelembele na kukataa kusikiliza amri zako;+ nao wakatenda dhambi kwa kutofuata masharti yako, ambayo mtu akiyafuata ataishi.+ Lakini walikugeuzia mgongo na kufanya shingo zao ziwe ngumu, nao wakakataa kukusikiliza.

  • Yeremia 6:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Wote ni watu wakaidi kabisa,+

      Wanaotembea huku na huku wakichongea.+

      Wao ni kama shaba na chuma;

      Wote wamepotoka.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki