Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 30:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 “Ole wao wana wakaidi,”+ asema Yehova,

      “Wanaotekeleza mipango ambayo si yangu,+

      Wanaofanya miungano,* lakini si kwa roho yangu,

      Ili kuongeza dhambi juu ya dhambi.

  • Isaya 48:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  4 Kwa sababu nilijua jinsi ulivyo mkaidi

      —Kwamba shingo yako ni kano ya chuma na paji la uso wako ni shaba+—

  • Yeremia 5:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Lakini watu hawa wana moyo mgumu unaoasi;

      Wamegeuka kando na kuifuata njia yao wenyewe.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki