Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 20:9, 10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Fanya shughuli na kazi zako zote kwa siku sita,+ 10 lakini siku ya saba ni sabato kwa Yehova Mungu wako. Usifanye kazi yoyote, wewe wala mwana wako wala binti yako wala mtumwa wako wala kijakazi wako wala mnyama wako wa kufugwa wala mgeni aliye katika makazi* yako.+

  • Mambo ya Walawi 23:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 “‘Mnaweza kufanya kazi kwa siku sita, lakini siku ya saba ni sabato ya pumziko kamili,+ kusanyiko takatifu. Hamtafanya kazi yoyote. Ni sabato kwa Yehova popote mnapoishi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki