Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 26:33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Nitawatawanya miongoni mwa mataifa,+ nitachomoa upanga nanyi mtakimbizwa;+ na nchi yenu itaharibiwa, na majiji yenu yatabaki ukiwa.+

  • Ezekieli 6:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Nami nitaunyoosha mkono wangu dhidi yao na kuifanya nchi iwe ukiwa, na makao yao yote yatakuwa ukiwa kuliko nyika iliyo karibu na Dibla. Nao watalazimika kujua kwamba mimi ni Yehova.’”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki