Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 49:31, 32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 “Inukeni, shambulieni taifa lililo na amani,

      Linalokaa kwa usalama!” asema Yehova.

      “Halina milango wala makomeo; wanaishi peke yao.

      32 Ngamia wao wataporwa,

      Na mifugo yao mingi itakuwa nyara.

      Nitawatawanya kwa kila upepo,*

      Wale ambao wananyoa nywele pembeni mwa vichwa vyao,+

      Nami nitaleta msiba wao kutoka kila upande,” asema Yehova.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki