-
2 Mambo ya Nyakati 28:20, 21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Hatimaye Mfalme Tilgath-pilneseri+ wa Ashuru akaja kukabiliana naye na kumtesa+ badala ya kumtia nguvu. 21 Kwa maana Ahazi alikuwa amechukua kila kitu kilichokuwa katika nyumba ya Yehova na nyumba ya* mfalme+ na nyumba za wakuu na kumpa mfalme wa Ashuru kuwa zawadi; lakini hilo halikumsaidia kamwe.
-