Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezekieli 26:7, 8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 “Kwa maana Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova anasema hivi: ‘Ninamleta Mfalme Nebukadneza* wa Babiloni dhidi ya Tiro kutoka kaskazini;+ yeye ni mfalme wa wafalme,+ akiwa na farasi,+ magari ya vita,+ wapanda farasi, na jeshi lenye wanajeshi* wengi. 8 Ataviangamiza kwa upanga vijiji vyako vilivyo mashambani, naye atajenga ukuta wa kuzingira na kujenga dhidi yako boma la kuzingira na kuinua ngao kubwa dhidi yako.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki