Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 25:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 ninaziita familia zote za kaskazini,”+ asema Yehova, “ninamwita Mfalme Nebukadneza* wa Babiloni, mtumishi wangu,+ nami nitawaleta dhidi ya nchi hii+ na dhidi ya wakaaji wake na dhidi ya mataifa haya yote yanayozunguka.+ Nitawaangamiza na kuwafanya kuwa kitu cha kutisha na kitu cha kupigiwa mluzi na magofu ya kudumu.

  • Ezekieli 29:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 “Mwana wa binadamu, Mfalme Nebukadneza*+ wa Babiloni aliamuru jeshi lake lifanye kazi kubwa ya kushambulia Tiro.+ Kila kichwa kilitiwa upara, na kila bega lilisuguliwa na kuchubuka ngozi. Lakini yeye na jeshi lake hawakupata malipo yoyote kwa ajili ya kazi kubwa aliyofanya ya kuishambulia Tiro.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki