Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 25:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 ninaziita familia zote za kaskazini,”+ asema Yehova, “ninamwita Mfalme Nebukadneza* wa Babiloni, mtumishi wangu,+ nami nitawaleta dhidi ya nchi hii+ na dhidi ya wakaaji wake na dhidi ya mataifa haya yote yanayozunguka.+ Nitawaangamiza na kuwafanya kuwa kitu cha kutisha na kitu cha kupigiwa mluzi na magofu ya kudumu.

  • Yeremia 27:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Kisha upeleke vitu hivyo kwa mfalme wa Edomu,+ mfalme wa Moabu,+ mfalme wa Waamoni,+ mfalme wa Tiro,+ na kwa mfalme wa Sidoni+ kwa mkono wa wajumbe waliokuja Yerusalemu kwa Mfalme Sedekia wa Yuda.

  • Yeremia 27:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Na sasa mimi mwenyewe nimezitia nchi hizi zote mikononi mwa mtumishi wangu Mfalme Nebukadneza+ wa Babiloni; nimempa hata wanyama wa mwituni ili wamtumikie.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki