Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 21:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Wale watakaobaki katika jiji hili watakufa kwa upanga, kwa njaa kali, na kwa ugonjwa hatari. Lakini yeyote atakayetoka na kujisalimisha kwa Wakaldayo wanaowazingira ataendelea kuishi, naye atapata uhai wake* kama nyara.”’*+

  • Ezekieli 14:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 “Kwa maana Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova anasema hivi: ‘Ndivyo itakavyokuwa nitakapoleta adhabu zangu nne*+—upanga, njaa kali, wanyama hatari wa mwituni, na ugonjwa hatari+—dhidi ya jiji la Yerusalemu ili kuwaangamiza kabisa wanadamu na wanyama kutoka humo.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki