Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 38:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 “Ee bwana wangu mfalme, watu hawa wamemtendea Yeremia uovu! Wamemtupa ndani ya tangi, naye atafia humo kwa sababu ya njaa kali, kwa maana hakuna mkate uliobaki jijini.”+

  • Yeremia 52:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Katika mwezi wa nne, siku ya tisa ya mwezi huo,+ njaa ilikuwa kali sana jijini, na watu waliokuwemo hawakuwa na chakula.+

  • Maombolezo 2:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Wanaendelea kuwauliza mama zao, “Iko wapi nafaka na divai?”+

      Wanapozimia kama mtu aliyejeruhiwa katika viwanja vya mji,

      Huku uhai wao ukitoka polepole wakiwa mikononi mwa mama zao.

  • Maombolezo 4:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  4 Ulimi wa mtoto anayenyonya hushikamana na kaakaa lake kwa sababu ya kiu.

      Watoto wadogo wanaombaomba mikate,+ lakini hakuna anayewapa.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki