Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 4:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Sasa kwa kuwa umeangamizwa, utafanya nini?

      Ulikuwa ukivaa nguo nyekundu,

      Ukijipamba kwa mapambo ya dhahabu,

      Na kupanua macho yako kwa kuyapaka rangi nyeusi.*

      Lakini ulijirembesha bure,+

      Kwa maana waliokutamani wamekukataa;

      Sasa wanataka kukuua.+

  • Ezekieli 16:37
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 37 kwa hiyo ninawakusanya pamoja wapenzi wote ambao umewapa raha, wote uliowapenda na wote uliowachukia. Nitawakusanya pamoja dhidi yako kutoka pande zote na kuwafunulia uchi wako, nao watakuona ukiwa uchi kabisa.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki