-
Ezekieli 40:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Aliponileta kwenye ua wa ndani kutoka mashariki, alilipima lango, nalo lilikuwa na ukubwa sawa na malango mengine.
-
-
Ezekieli 40:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Ukumbi wake ulitazama ua wa nje, na kulikuwa na michongo ya mitende kwenye nguzo zake mbili za pembeni, na ngazi nane zilielekea kwenye lango hilo.
-
-
Ezekieli 40:37Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
37 Nguzo zake za pembeni zilitazama ua wa nje na kulikuwa na michongo ya mitende kwenye nguzo zake mbili za pembeni, na ngazi nane zilielekea kwenye lango hilo.
-