Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezekieli 1:27, 28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Nami nikaona kitu kinachong’aa kama mchanganyiko wa dhahabu na fedha,+ kilichokuwa kama moto unaong’aa kutoka kwenye kile kilichoonekana kuwa kiuno chake kwenda juu; na kutoka kwenye kiuno chake kwenda chini, nikaona kitu kilichofanana na moto.+ Kulikuwa na mwangaza mkali kumzunguka pande zote 28 kama wa upinde wa mvua+ katika mawingu siku ya mvua. Hivyo ndivyo mwangaza uliozunguka pande zote ulivyoonekana. Ulikuwa kama mwonekano wa utukufu wa Yehova.+ Nilipouona, nikaanguka chini kifudifudi na kuanza kusikia sauti ya mtu akizungumza.

  • Ezekieli 3:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Basi nikaondoka na kwenda kwenye bonde tambarare, na tazama! utukufu wa Yehova ulikuwa huko,+ kama utukufu niliokuwa nimeuona kando ya mto Kebari,+ nami nikaanguka chini kifudifudi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki