Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezekieli 48:10, 11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Huu ndio utakaokuwa mchango mtakatifu kwa ajili ya makuhani.+ Upande wa kaskazini utakuwa mikono 25,000, upande wa magharibi 10,000, na upande wa mashariki 10,000, na upande wa kusini 25,000. Patakatifu pa Yehova patakuwa katikati yake. 11 Patakuwa pa makuhani waliotakaswa kutoka kwa wana wa Sadoki,+ wale walioshughulikia majukumu niliyowapa na ambao hawakuniacha wakati Waisraeli na Walawi waliponiacha.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki