Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 12:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Kisha Yehova atakapopita ili kuwapiga Wamisri na kuiona damu kwenye kizingiti cha juu cha mlango na kwenye miimo yake miwili, kwa hakika Yehova atapita juu ya mlango wenu, naye hataruhusu pigo la kifo liingie* katika nyumba zenu.+

  • Yoshua 2:17-19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Wanaume hao wakasema: “Hatutakuwa na hatia kuhusiana na kiapo ulichotuapisha+ 18 isipokuwa, tutakapokuja katika nchi hii, utakuwa umefunga kamba hii nyekundu katika dirisha ambamo utatuteremshia. Wakusanye baba yako, mama yako, ndugu zako, na familia yote ya baba yako ndani ya nyumba hii.+ 19 Ikiwa mtu yeyote atatoka nje ya nyumba yako, damu yake itakuwa juu ya kichwa chake mwenyewe, nasi hatutakuwa na hatia. Lakini mtu yeyote aliye ndani ya nyumba yako pamoja nawe akifa, damu yake itakuwa juu ya vichwa vyetu.

  • Ufunuo 9:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Wakaambiwa wasidhuru majani ya dunia au mmea wowote au mti wowote, isipokuwa watu wasio na muhuri wa Mungu kwenye mapaji ya nyuso zao.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki