-
Ufunuo 7:2, 3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Nami nikamwona malaika mwingine akipanda kutoka mashariki,* akiwa na muhuri wa Mungu aliye hai; naye akawaambia kwa sauti kubwa wale malaika wanne waliopewa ruhusa ya kuidhuru dunia na bahari, 3 akisema: “Msiidhuru dunia au bahari au miti, hadi tutakapowatia muhuri+ watumwa wa Mungu wetu katika mapaji ya nyuso zao.”+
-