Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezekieli 10:15-17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Na wale makerubi walikuwa wakiinuka—walikuwa viumbe hai walewale niliowaona* kwenye mto Kebari+— 16 na wale makerubi waliposonga, magurudumu yalikuwa yakisonga kando yao; na wale makerubi walipoinua juu mabawa yao ili yawe juu sana ya dunia, magurudumu hayo hayakuwa yakigeuka au kuondoka kando yao.+ 17 Waliposimama tuli, nayo yalisimama tuli; nao walipoinuka, yaliinuka pamoja nao, kwa maana roho iliyokuwa ikitenda katika wale viumbe hai* ilikuwa ndani ya magurudumu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki