-
Ezekieli 20:46Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
46 “Mwana wa binadamu, uelekeze uso wako upande wa eneo la kusini na utangaze kuelekea kusini, na uutabirie msitu wa uwanja wa kusini.
-
-
Ezekieli 21:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 “Mwana wa binadamu, uelekeze uso wako Yerusalemu, na utoe tangazo dhidi ya mahali patakatifu, na utabiri dhidi ya nchi ya Israeli.
-