Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 79:2, 3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  2 Wamewapa ndege wa angani maiti za watumishi wako kuwa chakula chao

      Na miili ya washikamanifu wako wamewapa wanyama wa mwituni wa dunia.+

       3 Wamemwaga damu yao kama maji kotekote Yerusalemu,

      Na hakuna aliyebaki wa kuwazika.+

  • Ezekieli 23:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Nitakumwagia ghadhabu yangu, nao watakutendea kwa hasira kali. Watakata pua yako na masikio yako, na watu wako waliobaki watauawa kwa upanga. Watawachukua wana na mabinti zako, na watu wako wanaobaki watateketezwa kabisa kwa moto.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki