Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 14:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Na watu wanaotabiriwa mambo hayo watatupwa katika barabara za Yerusalemu kwa sababu ya njaa kali na upanga, na hakuna yeyote atakayewazika+—wao, wake zao, wana wao, au mabinti wao—kwa maana nitawamwagia msiba wanaostahili.’+

  • Yeremia 16:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 ‘Watakufa kwa magonjwa hatari,+ lakini hakuna atakayewaombolezea wala kuwazika; watakuwa kama mbolea kwenye ardhi.+ Wataangamia kwa upanga na kwa njaa kali,+ na maiti zao zitakuwa chakula cha ndege wa angani na wanyama wa duniani.’

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki