Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 18:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Msifanye kama wanavyofanya katika nchi ya Misri ambako mliishi, wala msifanye kama wanavyofanya katika nchi ya Kanaani ambako nawapeleka.+ Msifuate sheria zao.

  • Kumbukumbu la Torati 29:16, 17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 (Kwa maana ninyi mnajua vizuri jinsi tulivyoishi nchini Misri na jinsi tulivyopita katikati ya mataifa mbalimbali tulipokuwa safarini.+ 17 Nanyi mlikuwa mkiona vitu vyao vinavyochukiza na sanamu zao zenye kuchukiza*+ za miti na mawe, fedha na dhahabu, walizokuwa nazo.)

  • Yoshua 24:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 “Kwa hiyo, mwogopeni Yehova na kumtumikia kwa utimilifu* na uaminifu,*+ ondoeni miungu ambayo mababu zenu waliabudu ng’ambo ya Mto* na nchini Misri,+ nanyi mtumikieni Yehova.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki