Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 21:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Manase pia alimwaga damu nyingi sana isiyo na hatia mpaka alipojaza Yerusalemu damu hiyo kutoka mwisho mmoja hadi mwingine,+ mbali na dhambi yake aliyosababisha Yuda kutenda kwa kufanya maovu machoni pa Yehova.

  • Mika 7:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  2 Mtu mshikamanifu ameangamia* duniani;

      Miongoni mwa wanadamu hakuna yeyote aliye mnyoofu.+

      Wote huvizia ili wamwage damu.+

      Kila mmoja anamwinda ndugu yake mwenyewe kwa wavu wa kukokotwa.

  • Mathayo 23:35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 ili damu yote ya waadilifu iliyomwagwa duniani ije juu yenu, kuanzia damu ya Abeli+ mwadilifu mpaka damu ya Zekaria mwana wa Barakia, ambaye mlimuua kati ya patakatifu na madhabahu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki