Ezekieli 29:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Basi niko dhidi yako na dhidi ya mto wako Nile, nami nitaifanya nchi ya Misri iwe mahali palipoharibiwa na palipokauka, mahame na ukiwa,+ kutoka Migdoli+ hadi Siene+ hadi kwenye mpaka wa Ethiopia.
10 Basi niko dhidi yako na dhidi ya mto wako Nile, nami nitaifanya nchi ya Misri iwe mahali palipoharibiwa na palipokauka, mahame na ukiwa,+ kutoka Migdoli+ hadi Siene+ hadi kwenye mpaka wa Ethiopia.