Zaburi 107:33, 34 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 33 Yeye hubadili mito kuwa jangwa,Na chemchemi za maji kuwa ardhi iliyokauka,+34 Nchi inayozaa kuwa nchi iliyoharibika yenye chumvi,+Kwa sababu ya uovu wa wale wanaokaa humo. Ezekieli 29:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Nitaifanya nchi ya Misri iwe nchi yenye ukiwa kuliko nchi zote, na majiji yake yatakuwa majiji yenye ukiwa kuliko majiji yote kwa miaka 40;+ nami nitawatawanya Wamisri miongoni mwa mataifa na kuwatawanya katika nchi mbalimbali.”+
33 Yeye hubadili mito kuwa jangwa,Na chemchemi za maji kuwa ardhi iliyokauka,+34 Nchi inayozaa kuwa nchi iliyoharibika yenye chumvi,+Kwa sababu ya uovu wa wale wanaokaa humo.
12 Nitaifanya nchi ya Misri iwe nchi yenye ukiwa kuliko nchi zote, na majiji yake yatakuwa majiji yenye ukiwa kuliko majiji yote kwa miaka 40;+ nami nitawatawanya Wamisri miongoni mwa mataifa na kuwatawanya katika nchi mbalimbali.”+