13 Nami nikamsikia mtakatifu akizungumza, na mtakatifu mwingine akamuuliza mtakatifu aliyekuwa akizungumza: “Maono ya dhabihu inayotolewa daima* na ya uasi unaosababisha ukiwa yataendelea kwa muda gani+ kufanya mahali patakatifu na lile jeshi kuwa vitu vya kukanyagwa-kanyagwa?”