Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Esta 1:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Basi mfalme akipenda, na atoe amri ya kifalme itakayoandikwa katika sheria za Uajemi na Umedi, zisizoweza kubadilishwa,+ kwamba Vashti asije tena kamwe mbele ya Mfalme Ahasuero, na mfalme ampe cheo chake cha umalkia mwanamke aliye bora kuliko yeye.

  • Esta 8:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Sasa andikeni katika jina la mfalme jambo lolote mnaloona linafaa kwa niaba ya Wayahudi nanyi mlitie muhuri kwa pete ya mfalme, kwa maana agizo lililoandikwa katika jina la mfalme na kutiwa muhuri kwa pete ya mfalme haliwezi kufutwa.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki