Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Danieli 8:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Kisha huyo mbuzi dume akajikweza kupita kiasi, lakini mara tu alipokuwa na nguvu, ile pembe kubwa ikavunjika; kisha mahali pake zikatokea pembe nne zilizokuwa zikionekana waziwazi, kuelekea zile pepo nne za mbingu.+

  • Danieli 11:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Na atakapokuwa amesimama, ufalme wake utavunjwa na kugawanywa kuelekea pepo nne za mbinguni,+ lakini si kwa wazao wake* na si kwa mamlaka aliyotawala nayo; kwa maana ufalme wake utang’olewa na kuchukuliwa na wengine zaidi ya hao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki