Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 64:10, 11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Majiji yako matakatifu yamekuwa nyika.

      Sayuni imekuwa nyika,

      Yerusalemu limekuwa ukiwa.+

      11 Nyumba yetu ya* utakatifu na utukufu,*

      Ambamo mababu zetu walikusifu,

      Imeteketezwa kwa moto,+

      Na vitu vyote tulivyovithamini sana vimeharibiwa.

  • Maombolezo 5:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Kwa sababu ya Mlima Sayuni, ambao umeachwa ukiwa;+ sasa mbweha wanatangatanga juu yake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki