Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 111:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Kumwogopa Yehova ni mwanzo wa hekima.+

      ש [Sin]

      Wale wote wanaotii maagizo yake wana ufahamu mzuri.+

      ת [Taw]

      Sifa yake hudumu milele.

  • Danieli 11:33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Na wale walio na ufahamu+ miongoni mwa watu watawasaidia wengi kupata uelewaji. Nao* watakwazwa kwa upanga na kwa mwali wa moto, kwa kutekwa na kwa kuporwa, kwa siku kadhaa.

  • Danieli 12:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 “Na wale walio na ufahamu watang’aa sana kama anga la mbingu, na wale wanaowaleta wengi kwenye uadilifu watang’aa kama nyota, milele na milele.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki