Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Danieli 4:20-22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 “‘Mti ulioona ambao ulikua mpaka ukawa mkubwa na kuimarika, ambao kilele chake kilifika mbinguni na ambao ulionekana duniani pote,+ 21 uliokuwa na majani yanayopendeza, matunda mengi, na chakula kwa ajili ya wote, na ambao chini yake wanyama wa mwituni waliishi na ndege wa angani kukaa kwenye matawi yake,+ 22 ni wewe, Ee mfalme, kwa sababu umekuwa mkuu na umeimarika, na utukufu wako umeongezeka na kufika mbinguni,+ na utawala wako kwenye miisho ya dunia.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki