Zaburi 50:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Tafadhali, zingatieni jambo hili, ninyi mnaomsahau Mungu,+Nisije nikawararua vipandevipande asiwepo yeyote wa kuwaokoa.
22 Tafadhali, zingatieni jambo hili, ninyi mnaomsahau Mungu,+Nisije nikawararua vipandevipande asiwepo yeyote wa kuwaokoa.