Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hosea 2:8, 9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  8 Hakutambua kwamba mimi ndiye niliyempa nafaka,+ divai mpya, na mafuta,

      Na mimi ndiye niliyempa fedha nyingi

      Na dhahabu, waliyotumia kumtumikia Baali.+

       9 ‘Kwa hiyo, nitarudi na kuchukua nafaka yangu itakapokomaa

      Na divai yangu mpya katika majira yake,+

      Nami nitampokonya sufu yangu na kitani changu kilichokusudiwa kufunika uchi wake.

  • Amosi 5:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Kwa sababu mnamdai maskini kodi ya* shamba

      Nanyi mnachukua nafaka yake kama ushuru,+

      Hamtaendelea kuishi katika nyumba mlizojenga kwa mawe yaliyochongwa+

      Wala hamtakunywa divai kutoka katika mashamba bora ya mizabibu mliyopanda.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki