-
2 Wafalme 18:9, 10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Katika mwaka wa nne wa utawala wa Mfalme Hezekia, yaani, mwaka wa saba wa Hoshea+ mwana wa Ela mfalme wa Israeli, Mfalme Shalmanesa wa Ashuru alikuja kushambulia Samaria, akaanza kulizingira.+ 10 Nao wakaliteka+ baada ya miaka mitatu; Samaria lilitekwa katika mwaka wa sita wa utawala wa Hezekia, ambao ulikuwa mwaka wa tisa wa utawala wa Mfalme Hoshea wa Israeli.
-