Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 9:9, 10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  9 Na watu wote watalijua

      —Efraimu na wakaaji wa Samaria—

      Ambao wanasema kwa kiburi chao na mioyo yao yenye dharau:

      10 “Matofali yameanguka,

      Lakini tutajenga kwa mawe yaliyochongwa.+

      Mikuyu imekatwa,

      Lakini tutaweka mierezi badala yake.”

  • Hosea 7:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Kiburi cha Waisraeli kimetoa ushahidi dhidi yao,+

      Lakini hawajamrudia Yehova Mungu wao,+

      Wala hawajamtafuta licha ya hayo yote.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki